Ukweli uliofichwa (A list S01 Ep01)
Video Overview & Insights
kajala, Irene Uwoya, Aunty Ezekiel na Jackline wopler,
HONGERENI NAAMINI SAUTI NA MAFUNZO YENU MUNGU ANAHITAJI KUWAFUNDISHA WATU WAKE
Malkia na Warembo Nguli kwenye kiwanda cha Filamu na Burudani hapa Afrika Mashariki, Wanaokuletea Maisha Yao Halisi na Ukweli Uliokua chini ya kapeti kwenye Maisha Yao.
NAWAPENDA DADA ZANGU AD RAHA
More User Perspectives
wema sepetu yuko wapi
@Vanessamirabelle-r5cWema anapenda atation sana
@violetluta5145beautiful ladis๐๐๐๐
@ZariahSapphireGod bless you all from canada.i know one day soon i will be in your show.amen
@ZariahSapphireMliacha kushoot?
@florencemuya2803Naomba m1 wenu aniajili..
@ShaniMuniraApo kw jack ni kwl....ju angalia macho ake taaar yuapenda uongoo๐ ๐ ๐
@MishiRamadhan-h5mTop six hao wawili ni akina nani? Naomba kuwajua
@alphoncecastory7258๐๐๐๐๐
@RehtseeeThese ladies are funny As Hell ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hiyo ndoa ya dogo janjaaa took me out lol
@dianaelinamLmao such actresses ๐คฃ๐คฃ๐คฃ eti uhalisia! Lol
@dianaelinamโคโคโคโคโคโคโค๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ
@princeshamwami4847That cl i lk it
@thejikoni_journalNawapenda Sana
@OmanSmart-z6oWapi wema sepetu,,,,,
@HaronEkaiAuntie,,ww ni mchekeshaji mzur sana,, alf unajua kukaa n watu wa kawaida ,,
@UncooSaidoDada zangu nawapenda ila naombeni msaada
@ShamsaWilliam-g4ySema uwoya ni charming sana anaonekana ni mtu mwenye furaha muda wote.
@Sophiaabdallah-o2cMie nilijua Auntie ndio muongoo
@winfridamdaki5699Mim nina wapenda sana bwanaโค
@GianaKombaMm nataka kujua uyo alie left group ni nani๐๐
@beatricemorice9269๐๐kuna muda watu wanapanic ila wanajikontroo ๐๐
@AsmaHussein-e1mSo love ๐..
@LatiphaBhuttoshow kaliiiiiโคโคโค
@eunicehamisi6230Wawe wanabadilisha nguo Ata mara moja hawa n ma star jmn episodes nying nguo zilezile, โค
@emyricher1113Ndiomaan Anty akawa ni Admin
Anaongea facts sana na kwa hekima ya hali ya juuโค
Lakini kusema ukweli kajala hawezi kuweka simu chini๐ฎ๐ฎdaaah
@its_annfilteredUSIKUTE ALIYELEFT NA AMBAYE ALIKUWA HAZINGATIWI NI Wemasepenga ๐๐๐๐
@sylvesterwilliam2503Wapenzi wangu hawaโค nawapenda kutoka Kenya โค
@JossyKoonyo-ls6ytHapo kwenye maumbo mmmh uongo mwenye umbo hapo ni kajala peke ake๐
@AminaKidasi๐ makeup na nonsense tu ๐ฎ
@kenpachiman5Jack nimempenda buree
@JescaPaul-t8r27:49 ๐ข
@naomnzilia303Aki walai l like lrene, she so super woman...โจ๏ธโค
@AnaAna-kz6qjmashaalla mungu ndio kila kitu vingine vinapatikana
@mwanahamisiddy-t1oWawili wengine kina nani ? Walio left kwenye friendship
@Elizabethobeth-n4z3r๐ฅ๐ฅ๐ฅ
@Raja-f8oWatafuta movie kal au tour za kumfundisha jamii juu ya movie movement za kutengeneza pesa
@SeiphOmary-q9kYan u can tell jack na anti hawako proud na wanaume waliowachagua kuwaoa especially Jack na iv alivyokua mpambanaji kupita mwenzie sometimes inachosha mwanamke ku take a role ya mwanaume ndani ya nyumbaโฆ tatizo the chose looks over akili ya utafutaji
@breezybabe0019Ohoooo ๐
@SuzanKaroliWalikua wasita nani wengine wawili wema na nani
@sharyanachannelNa wapenda sana โค nyinyi
@KichikuMaulidKajala mzuriiii mnooooo๐๐
@Simply.bella4Mtu aki left mnaona wana group wote.
@smg-x8lAcheni kuteremsha wine, madada wazuri. Angalieni afya zenu, na pia mnaswali.
Teremsheni maji tu, au blackcurrant juice, ndio itapendeza.
Irene Uwoya Ulikataa miliyoni 600 sasa leo utupu wako waonekana kwa bando ya sh100. Aibu iliyoje maana mimi nlikuwa hata sijui kuna video yako iliyo vuja, nilipo check mtandaoni nikaipata.
@igiraneza-e5edaa yulemwamba kweli muombe msamahasn kama ukirudi miaka8 nyuma ukapata alichosema bx2 Mungu akusamehe sana
@MaghesamwittaMuwekege tissue paper mezani kwa ajili ya kufuta machozi๐
@dorrie-b8q